Pages

Tuesday, January 29, 2013

WhatsApp Messenger imekosolewa :Privacy Breach

Whatsapp Interface :Source
WhatsApp Messenger inamilikiwa na WhatsApp Inc iliyopo California. Whatsapp is a popular mobile chatting application.. inasemekana jamaa wanProcess over 1 Billinion text messages kwa siku!!

Over the past one year Whatsapp wameongeza security over the application... mfano encryption while sending messages and secure password generation etc!!  Unapo-download na ku-install whatsapp kwa smartphone yako.. it asks you to grant it access to your entire address book.. which contains contains phone numbers of both Whatsapp users and non-users... hapa ndo ishu ilipoanzia coz mtumiaji huna choice mbadala ya kuchagua.

Canadian and Ductch privacy regulators walianza kufanya investigation mapema mwaka jana.. na walisema the problem was when Whatsapp transimitted the scanned adrees book containing phone numbers to its servers, servers zao zilishindwa kufuta namba za watu ambao hawatumii whatsapp.. hivyo ku-violate Privacy Policy yao.. [Whatsapp wanabaki na list ya frendz zako ote hata ambao hawatumii watsapp]

Mpaka sasa Whatsapp Inc hawajatoa tamko lolote kutokana na ripoti hiyo..   Source

No comments:

Post a Comment