Pages

Thursday, January 17, 2013

Hackers wamezingua tena Wizara ya Ulinzi: Mexican Defense Ministry


Moja ya Potrait ya Hactivist Group ya Mexico
Hackers nchini Mexico walitoa tamko jana kuwa... wao wanahusika kui-hack website ya wizara ya ulinzi ya Mexico.  Those guys had hacked the Ministry of Defense's website and  gained a total control of the entire content ya website hiyo.

Those guys are a group of Zapatista Rebel. The name "Anonymous Group" appeared on the website for two hours (at the same time background ya website ilikua nyeusi).

Another group of hackers which identified themselves as part of Anonymous Mexico had commented in Twitter that it had hacjed and defaced the ministry website. 

Baadae tena group nyingine ya hackers iliibuka twitter na kuComent they hacked the defense ministry servers with its contents na kwamba wangeiachia mda si mrefu.... patamu hapo#

Later the defense ministry alitoa tamko kuwa website yao ipo out of service kwa muda.. bila kusema chochote kuhusu security bleach iliyoonekana mapema jana.

Credit

No comments:

Post a Comment