Pages

Sunday, January 20, 2013

Pigo kwa Microsoft: Antivirus yao haijafikia kiwango.

Microsoft Security Essential ni Ant Virus ya Microsoft... kama computer yako ina copy original ya windows (genuine copy) basi unaweza kuinstall Ms Security Essential. I have been using this Ant Virus for 6 months now... but ripoti iliyotolewa hivi sasa imenishtua..

The giant software company (kama wanavyopenda kuitwa) Microsoft wamepata pigo kwa kushindwa kufikia viwango [kwa mujibu wa labolatory ya Kijerumani inayotoa test results za ant-virus zote kila baada ya miezi miwili]

The independent testing lab based in Germany, publishes test results every two months, and the test from November and December 2012 looked at 25 consumer antivirus security programs. Three failed certification: PC Tools Internet Security 2012, AhnLab Internet Security 8.0, and Microsoft Security Essentials 4.1.

Hii ni mara ya pili kwa Microsoft kushindwa ku-certify. Microsoft Security Essential ni maarufu sana US na Dunia nzima kwa ujumla.  Credit

No comments:

Post a Comment