Pages

Monday, January 21, 2013

Nokia kupunguza wafanyakazi 300 wa IT, na ku-outsource kazi zingine 820

Credit
Moja kati ya mikakati iliyotangaza Nokia mwaka jana June 2012 ni kuongeza ufanisi wa kazi zake na kupunguza gharama za uendeshaji. Hivi majuzi Nokia walitangaza kupunguza wafanyakazi..  at least 300 workers have been affected by Nokia's announcement... and those are based in Finland.

Ila hawapunguzwi kazi bila chochote... Nokia wameshow love ya kuwa-assist financialy na kuwatafutia kazi kwenye kampuni zingine. Nokia will then outsource 820 jobs and transfer its IT operations to two Indian companies.. ikiwemo kampuni kubwa ya kiHindi... Tata Consultancy Services 'TCS' na HCL Technologies.

Nokia also sold its Espoo headquarters to Finnish company Exilion in a deal worth €170 million, leasing the property back from the company as it attempts to further reduce costs. Mtikisiko wa kiuchumi sio bongo tu aseee... tetesi zingine zinasema Nokia wamepunguza kazi karibu 40,000##

No comments:

Post a Comment