Konza Technology City :Masterplan :Source |
Kilichonikuna hasa ni hii habari ya KENYA kuanza ujenzi wa mji mpya the new technology city... Mr Prezidenti wa Kenya amezindua ujenzi huo utakaogharimu dola bilioni [ $14.5bn (£9.1bn)] for that project to build a new city intended to be an IT business hub and dubbed "Africa's Silicon Savannah".
IT Business hub.. acha tuwaonee wivu tu... ajira 20,000 za IT zinategemewa kupatikana kuanzia 2015.. [hii ni changamoto kwa upcoming IT professionals] # Source
It will take 20 years to build Konza Technology City about 60km (37 miles) from the capital, Nairobi. Na inasemekana kazi ajira zitaongezeka na kufikia 200,000.. by 2030#
Sitting on a 2,000 hectare piece of land, Konza Technology City, will create modern and sustainable Kenya. Technology companies pia zipo nyingi nchini Kenya ukiachilia branch kama ya Google, pia kuna native companies.. na kama sijakosea sana East Africa... programmers wengi wanatoka Kenya.
Other ICT hubs and centers in the city include iLab at Strathmore University, one of the country’s most prominent and well-respected private universities; NaiLab; mlab; and humanIPO, which is set to launch soon. Source
No comments:
Post a Comment