Wednesday, January 16, 2013
Baada ya Microsoft kuinunua SKYPE.
Microsoft CEO Steve Ballmer and Skype CEO Tony Bates
Microsoft waliinunua SKYPE kwa US Dollars 8.5 Billion sawa na mapesa mengi ya kiTanzania. Just days after reports that Google and Facebook were interested in partnering with, ila tetesi zinasema FACEBOOK walikataa ombi la kuwa partners na Google. (Sipati picha hawa jamaa wakiwa partners) Later Microsoft announced that it was buying the company for $8.56 billion in cash.
Last week Jumatano 9th Jan 2013.. Microsoft wametangaza kureplace Microsoft Messenger Online with SKYPE. Kuanzia March mwaka huu SKYPE ndo itakua mpango mzima. Hii imekuwa announced mapema ili kuwapa watu muda wa kuhama taratibu.
Microsoft walimanage kuwatumia Messenger Users wote ku-update kwenda Skype kwa kutumia Messenger Account zao za zamani... at least they have sometime to update/migrate to skype before deadline.
Skype ina features nyingi including video calls and being able to call mobile phones from computers, as well as being able to connect with friends at leading social network Facebook.
Skype users can make low-cost or free phone calls over the Internet kwa kutumia computers au smartphones... Smartphone hasa iPhone za Apple na smartphone nyingi zinazotumia Android. Kwa Blackberry bado kidogo may be kwa latest version zao..
Labels:
News/Technology
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment