Pages

Monday, January 21, 2013

SONY wametoa TABLET yao mpya.. nyembamba zaidi ya iPad Mini

Xperia Tab Z:  Credit
SONY wamesababisha tena huko Japan.. Jana Jumatatu Sony wamerelease what is believed to be the thinniest tablet in the world the Sony Xperia Tablet Z.   The tablet is 6.9mm thick.. meanwhile the current iPad Mini is 7.2mm tofauti ikiwa ni Micrometer chache sana

Na bado... jamaa wamefunika zaidi kwani hii kitu ni WaterProof and DustProof [according to  :TheNextWeb] The Xperia Tablet Z runs on Android Jelly Bean 4.1.2.  quad-core 1.5GHz processor and it comes with an 8.1mp camera, 2GB RAM, internal storage of 32GB.. WiFi, Bluetooth, 2G, 3G plus LTE (4G) display yake ni 10.1 inch..kubwa kuliko iPad.. pia uzito wake ni gram 495.

Sony hawajasema bei ya hii kitu bado... ni lini hasa itakua released to other parts of the world... the good news ni kwamba... hata ukiidondosha kwenye maji.. bado itapiga mzigo...  Credit

No comments:

Post a Comment