Hackers Polite Approach: Credit |
Profesionals wanaofanya kazi kwenye kampuni kubwa of about 30 employees and above wanaelewa vizuri kuhusu umuhimu wa ku-secure networks, ku-configure firewalls, spam filtering, software patches, na kudownload virus definition updates ikibidi kila siku in order to keep the vulnerabilities of the computing environment at a minimum.
Social Engineering: is one the biggest threats to computer security, ni mbinu mbali mbali attacker anazitumia ili kupata information kwako and later use them against you....whether in residential or business environments. If computer technicians are to properly secure a computer system or network, they must know about social engineering and how to mitigate the attacks.
Social Engineering is a collection of techniques used to manipulate people into performing actions or divulging confidential information. - Wikipedia
Mara nyingi social engineering hackers au attackers hawaji face to face... anaweza kupiga simu au kutumia email.. pitia some social engineering attack techniques hapo chini... some technics are technical and some non technical
Moja ya email Titles unaweza kupokea kutoka kwa SE Attacker |
2. Pretexting:- Hapa attacker anajifanya kutengeneza scenario.. anaweza kupiga simu kwenye Benki fulani au mfanyakazi mwenzie aliye chini yake... kisha kumdanganya anahitaji record za mteja.. location, namba za simu au details za mteja za Benki.. this technique is simple but effective.. in regard to human nature.. of being helpful to satisfy customers or important users of the organization.
3. Dumpster Diving:- Hapa attacker anacheza na dustbins tu.. zile uchafu ambazo users kama wa maBenki au kampuni kubwa atahisi amemaliza kuzitumia au hana shida nazo tena. sifting through commercial or residential trash will lead to retrieve some useful items such as phone books, checks, credit card au bank statements or other corporate commercial records. Discarded information can be used to launch Social Engineering attacks.
No comments:
Post a Comment